x
Upimaji
Tunatoa huduma mbalimbali za upimaji ardhi kwa wateja wa sekta ya umma na binafsi.
Uuzaji wa viwanja
RealBiz ni wauzaji wa viwanja mkoani Tanga, Tanzania. Jipatie ardhi kutoka RealBiz kwa bei nafuu hapa Tanzania ndani ya mkoa wa Tanga.
Ushauri
Tunatoa ushauri kwenye masuala mazima ya kununua ardhi, upatikanaji wa hati na sheria zote za umiliki wa ardhi.