x
Uuzaji wa viwanja

Uuzaji wa viwanja

RealBiz ni wauzaji wa viwanja mikoani Tanga, Dar es salaam na Morogoro, Tanzania. Jipatie ardhi kutoka RealBiz kwa bei nafuu hapa Tanzania ndani ya mkoa wa Tanga. Nunua viwanja vilivyopimwa na visivyo na mgogoro, vinavyofaa kwa matumizi ya kijamii kama vile shule, hospital au biashara. Viwanja vyetu vipo karibu na miradi ya kimaendeleo ya kiserikali. RealBiz tutakuuzia kiwanja na kukupatia hati yako bila usumbufu. Ardhi ni mali wekeza na RealBiz.