x

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

*TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI*

*Kampuni ya RealBiz*  inayojihusisha na uuzaji wa viwanja katika mikoa ya Dar es Salaam na Tanga inapenda kuwatangazia vijana wa Kitanzania *fursa ya ajira katika shirika letu*.

Tunahitaji vijana wenye uzoefu, ambao wana uwezo wa kufanya vyema zifuatazo kwa kuzingatia misingi yetu ya maadili katika utendaji wetu wa kazi ambao ni uwajibikaji, uadilifu, umiliki na mawazo chanya juu ya kampuni katika Nyanja zifuatazo: 

1.    *Afisa Mauzo na Masoko (Nafasi 4)*
2.    *Muendeshaji wa ofisi ( Nafasi 1)*

*MUHIMU*

📌_Waombaji wote lazima wawe raia wa Tanzania wenye angalau cheti au astashahada ya masoko, rasilimali watu, tecknolojia ya mawasiliano, uhasibu, au fani zinazohusiana._

📌_Nafasi tajwa hapo juu ni kwa ofisi za Tanga Mjini na Pongwe Tanga.

📌_Kampuni itawasiliana na watakaovuka mchujo wa kwanza._
📌_Maombi yote yatumwe kwa njia ya mtandao kwa kupitia link hii_-> https://bit.ly/3SjxTKS.

📌_Mwisho wa maombi ni tarehe 20/10/2023